DIAMOND ASHIRIKISHWA NA RAPPER M.I WA NIGERIA KATIKANGOMA MPYA

Rapper wa Nigeria na CEO wa label ya Chocolate City, M.I, ataingia studio kurekodi wimbo atakaomshirikisha Diamond Platnumz.
mi-13
Akiongea na gazeti la The Star la Kenya, M.I alimsifia Diamond kwa kudai kuwa hitmaker huyo wa ‘My Number One’ ana sauti ya pekee.
“Well, Nilivutiwa sana kufanya kazi naye na nafikiri ana sauti ya kipekee na ya kuvutia. Katika nyimbo zote alizozichagua, nadhani ataenda kuzipa uhai mwingine,” alisema rapper huyo.
1016243_622850427736775_2127148511_n
Wawili hao walikutana wakati wakirekodi kipindi cha Coke Studi Africa jijini Nairobi. Wiki iliyopita, Diamond Platnumz alimshirikisha staa mwingine wa Nigeria

Comments