SAD NEWZ!!! PAUL WALKER AFARIKI DUNIA, NI MWIGIZAJI WA FILAMU YA FAST & FURIOUS

Muigizaji wa Marekani, Paul Walker aliyekuwa akiigiza kwenye filamu ya Fast & Furious amefariki dunia kwa ajali ya gari California.
e0b3c6a7-5308-4097-b922-b679c1a2f3ac_paulwalker_OBIT
Msemaji wake ametoa taarifa ya kifo chake kupitia Facebook kudai Walker, 40, alikuwa amebebwa kwenye gari ya rafiki yake iliyopata ajali Kaskazini mwa jiji Los Angeles. Alikuwa akienda kuhudhuria tukio la utoaji misaada.
paul
Paul aliigiza kwenye series za filamu ya Fast and The Furious ambazo hadi sasa ni sita. Walker pia ameigiza kwenye filamu iitwayo Hours, ambayo itazinduliwa mwezi huu. Mamlaka zimesema waliikuta gari hiyo ikiwaka moto na watu wawili waliokutwa kwenye gari hiyo walikutwa wamekufa tayari.

Comments