rasmi kwenye muziki. Kauli hii ameitoa manager huyo baada ya mahojiano ya Justin na kutio cha radio flani ambapo Justin alifunguka kuhusu kuacha muziki kabisa.
Manager huyu aliyeanza kumsimamia Justin toka mwanzo wa safari yake ya muziki amesema "I'm Retiring Man" Ni jina la album ya 6 ya Justin na ataifanyia kazi mwakani.
Taarifa hizi za Justin kuacha muziki zilisamba baada ya Beiber kuandika kwenye ukurasa wake kuwa anastaafu muziki ila atabaki kuwabenda na kuishi kama "Belieber" na kuwa kuishi hivyo ni maisha ya mtu anayo chagua.

Comments
Post a Comment