Skip to main content
TAZAMA VIDEO HII RAIS ALIYEJIKOJOLEA HADHARANI ALIPOKUWA AKIHUTUBIA.ASIMULIAPIA ILIVYOKUWA.
Rais
wa Colombia, Juan Manuel Santos amezindua kampeni ya uchaguzi wa Urais
kwenye jiji la Barranquilla, lakini wakati akihutubia, janga
likamtokea.Rais huyo alikuwa akihutubia kwa mzuka kabla ya kujikojolea
hadharani na kila mtu akiona japo hakusitisha hotuba hiyo. Video yake
imekuwa maarufu tayari mtandaoni. Hata hivyo Rais huyo amekanusha kuwa
na matatizo ya kiafya. Ametumia mtandao wa Twitter kuwashakuru wananchi
wa Colombia kwa kumuelewa licha ya aibu hiyo.
Comments
Post a Comment