Skip to main content
BAADA YA DIAMOND KUHAHA KUTAFUTA COLLABO NA BEYONCE, HIVI NDIVYO ALIVYOJIBIWA.
Hii Habari nimeisoma katika Gazeti moja
Jana kuwa Diamond anahangaika kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo
Pamoja , Inasemekana Diamond alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati
nzuri akaipata na kumpigia simu na kumweleza anachotaka ila Beyonce
akamkatiza na Kumuuliza huna Manager ? na Kisha kukata simu ..kwani
Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa
Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo
kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate
Protocol
Comments
Post a Comment