Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 5, 2014

HALIMA KIMWANA APEWA MADONGO YA MAANA INSTAGRAM BAADA YA KUKOSEA KINGEREZA. SOMA HAPA UCHEKE.


Watu hata hawana huruma ..Hawachelewishi kitu ..baada ya Mwanadada halima Kimwana Ndugu yake na Diamond Kupost Picha Akiwa na Penny Mpenzi wa Diamond wa zamani na kuandika Caption ya Kingereza Kibovo (Bcz we Happy) Watu waliidaka hiyo Picha na Kuanza Kuichambua kama Karanga:

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages