Album hiyo itajumuisha jumla ya nyimbo 8 za MJ ambazo aliwahi kuzirekodi enzi za uhai wake lakini hazijawahi kutoka.
‘Xscape’ ambayo kwa sehemu kubwa imefanywa na producer mkongwe Timberland imepangwa kutoka May 13. Maproducer wengine walioweka mchango wao katika album hiyo ni pamoja na Rodney Jerkins, Stargate, Jerome “Jroc” Harmon na John McClain.
“Michael left behind some musical performances that we take great pride in presenting through the vision of music producers that he either worked directly with or expressed strong desire to work with,” Alisema CEO wa label hiyo L.A. Reid
Source: Billboard
No comments:
Post a Comment