Ilikuwa ni huzuni kubwa Alhamis hii wakati wa mazishi ya muigizaji wa filamu Rachel Haule na mwanae waliozikwa kwenye makaburi ya Kinondani jijini Dar es salaam. Ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wadau mbalimbali wa filamu walihudhuria mazishi hayo. Rachel alifariki juzi kwenye hospitali ya Muhimbili muda mfupi baada ya kujifungua kwa operesheni. Mwanae pia alipoteza maisha.

Kaburi la Rachel na mwanae

Jeneza la mtoto wa Rachel likishushwa kaburini

Kaburi la Rachel

Mboto akiwa amekaa kwa majonzi

Msanii wa filamu Mtanga

Msanii wa filamu na muziki Asia

Mume wa marehemu Rachel Haule

Ndugu wa karibu wa marehemu

Odama akilia kwa uchungu

Odama na ndugu wa karibu

Ray,Dk Cheni pamoja na JB

Wema akiwa amekaa na wenzake

Kajala, Wolper na marafiki zao























































Kaburi la Rachel na mwanae
Jeneza la mtoto wa Rachel likishushwa kaburini
Kaburi la Rachel
Mboto akiwa amekaa kwa majonzi
Msanii wa filamu Mtanga
Msanii wa filamu na muziki Asia
Mume wa marehemu Rachel Haule
Ndugu wa karibu wa marehemu
Odama akilia kwa uchungu
Odama na ndugu wa karibu
Ray,Dk Cheni pamoja na JB
Wema akiwa amekaa na wenzake
Kajala, Wolper na marafiki zao
Comments
Post a Comment