Msanii wa Nigeria,
Davido ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best African Act, katika BET
Awards 2014 zinazofanyika usiku huu Los Angeles, Marekani.
Davido
alikuwa anawania kipengele hicho na wakali wengine kutoka Afrika
akiwemo Diamond Platinumz, Mafikizolo, Toofan, Sarkodie na Tiwa Savage.
Comments
Post a Comment