Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.
"BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW#MDOGOMDOGO
ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"
Post Top Ad
Your Ad Spot
Sunday, July 27, 2014
Home
GOSSIP
LIFE OF CELEBRITIES
WHAT
ALICHOKISEMA BOB JUNIOR KUHUSIANA NA BIFU LA ALIKIBA NA DIAMOND!!! AMPA MAKAVU OMMY DIMPOZ
ALICHOKISEMA BOB JUNIOR KUHUSIANA NA BIFU LA ALIKIBA NA DIAMOND!!! AMPA MAKAVU OMMY DIMPOZ
Tags
GOSSIP#
LIFE OF CELEBRITIES#
WHAT#
Share This
About DARVEL LAMAR BLOG
WHAT
Labels:
GOSSIP,
LIFE OF CELEBRITIES,
WHAT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment