Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, August 7, 2014

MUONEKANO WA RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA NDANI YA IKULU YA MAREKANI- KATIKA MKUTANO WA MARAIS.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.…
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC. Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.  Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry anaelekeza namna ya kutumia kipaza sauti baada ya Rais Obama kufungua mkutano huo, wakati  mwenyekiti wa Umoja wa Afrika  Rais  Mohamed Ould Abdel Aziz alipoongea kwa niaba ya Viongozi wa Afrika.
(PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages