Muigizaji wa filamu,Kajala Masanja maarufu kama Kajala (Sept 24)
amezindua filamu yake mpya iitwayo ‘Mbwa Mwitu’.Uzinduzi huo umefanyika
Century Cinema (Movie Theater) iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam
kuhudhuriwa na waigizaji wenzake pamoja na wadau wa filamu nchini
Tanzania.

Mastaa walioshiriki katika kuigiza kwenye filamu hiyo ni Hemed Suleiman aka PHD,Grace Mapunda,Kajala pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka.
Tazama picha mbalimbali hapa.

Mastaa walioshiriki katika kuigiza kwenye filamu hiyo ni Hemed Suleiman aka PHD,Grace Mapunda,Kajala pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka.
Tazama picha mbalimbali hapa.
No comments:
Post a Comment