Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, October 26, 2014

BIG BROTHER 2014: LAVEDA WA TANZANIA NA ALUSA WA KENYA WAYAAGA MASHINDANO.

Mwakilishi wa kike wa Tanzania, Laveda ameondolewa kwenye mashindano ya Big Brother Africa Jumapili hii.
image
Laveda amekuwa mshiriki wa sita wa kike kuondolewa kwenye mashindano hayo. Mshiriki mwingine aliyetoka leo ni Alusa wa Kenya ambaye amekuwa mwanaume wa kwanza kutoka. Kenya haina tena mwakilishi kwenye shindano hilo.
image
Tanzania imebakiza mshiriki mmoja, Idris Sultan.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages