Wema Sepetu yupo mbioni kuachia kazi zake mpya.
Kupitia kipindi cha Kili Chat cha hivi karibuni, Wema alielezea kazi zake mpya za filamu anazotarajia kuzitoa hivi karibuni. “Kwanza ntaanza kuitoa Supastaa, halafu kuna nyingine inaitwa ‘The Unexpected’ and then kuna nyingine ambayo nimefanya na Aunty, nimetoka kushoot juzi tu inaitwa Family. Kwahiyo nina kama movie tatu then kuna a very big project coming,” alisema Wema.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 pia anatarajia kuzindua msimu wa pili wa kipindi chake cha In My Shoes ambapo awamu hii atakuwa akionekana pia mpenzi wake, Diamond.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Tuesday, November 4, 2014
HIZI NI FILAMU TATU (3) ZA "WEMA SEPETU" ANAZOKUJA NAZO.
Tags
LIFE OF CELEBRITIES#
Share This
About DARVEL LAMAR BLOG
LIFE OF CELEBRITIES
Labels:
LIFE OF CELEBRITIES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment