Muonekano wa Rapper Drake Baada ya Kupigana na Diddy.
Baada ya Rapper Drake kupigana na msanii mwenzie Diddy nje ya
Fountainbleau hotel siku nne zilizopita kwa mara ya kwanza ameonekana
hadharani akiwa katika jiji la miami ambapo alikuja kwa ajili ya kufanya shopping yake mwenyew picha zake iko hapa chini
Comments
Post a Comment