Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, January 8, 2015

PICHA:DIAMOND ALIVYOKUTANA NA P.SQUARE NA FALLY IPUPA HUKO NIGERIA. TAZAMA HAPA



Diamond 7
Tuzo tatu alizoshinda kwenye tuzo za Channel O mwaka 2014 zimezidi kumuongezea nguvu Diamond Platnumz ambae kwa sasa yuko Nigeria akijiandaa kupanda kwenye stage ya tuzo za Wanasoka Afrika akiwa kwenye list na wasanii kutoka Nigeria, DRC Congo na South Africa.
Wakati Diamond amemaliza kufanya mazoezi kwenye ukumbi kunakofanyika show yenyewe alikutana na Peter wa P Square ambae ndio alianza kumtambua Diamond na kumchangamkia sana kama watu wanaofahamiana, walipopiga stori akamwambia Diamond kwamba ‘inabidi tufanye kazi’
Diamond 2
Baadae walikutana tena kwenye chumba cha hoteli, Diamond, Mr. Flavour, P Square na M.I ambapo wote hawa wameonyesha kumkubali Diamond, kwenye time hiyo kama Wasanii walikua na gitaa lao na wakaanza kupiga freestyle zao.
P Square ndio wameonyesha kumkubali sana Diamond ambapo Paul mwenyewe ndio amekua na kumbukumbu na kumtajia Diamond nyimbo anazozipenda ambazo ni ‘nitampata wapi’ na ‘mdogo mdogo’ ambayo alishindwa kuitaja jina akamwambia the one you say Thomaaas!! yani ile unayosema Thomaas.
Diamond 1
Wakabadilishana na namba za simu.
So kuanzia sasa ukisikia kuna kolabo ya P Square na Diamond wala usishtuke.
Diamond 6
Diamond 5
Diamond 4
Diamond 3
Diamond 9
Diamond 10
Diamond 8
Diamond 12
Diamond 11
Fally Ipupa na Diamond kwenye ukumbi kutakapotolewa tuzo hizo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages