Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 27, 2015

VIDEO:MWANAMUZIKI TIARA WA KENYA ATUMA VIDEO CHAFU KWA DIAMOND AKIOGA NA KUSEMA YUPO NAYE TAYARI KUFANYA NAE PROJECT. TAZAMA VIDEO HII



Kuwa Staa Raha Sana: Baada ya Diamond Kutumiwa Video na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha kwa kimahaba kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza sawa sawa , sasa Mrembo amerudi tena na kali zaidi ya ile , Mrembo huyo ajulikanae kama Tiara Ameitumia Udaku specially Video Hiyo akiwa bafuni akioga huku wimbo wa Bebe Cool unaitwa i will love you everyday ukilia kwa nyuma ili Diamond Amuone Vizuri kwani ile Video ya Mwanzo ilikuwa na Giza...

Mrembo huyo pia amesema yeye ni Mwanamuziki na Angependa kufanya Project na Diamond Platunumz
Jionee mwenyewe hapa mimi Sina Mengi :

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages