Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, February 6, 2015

PICHA :NEY WA MITEGO APOST PICHA AKIWA MWANAMKE UCHI KITANDANI, YAZUA UTATA HUKO INSTAGRAM. 18 PG ONLY.



Picha hii imepostiwa kupitia Account ya msanii wa Nay Wamitego ya Instagram akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi unaonekana.
Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania.

Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages