Skip to main content
PICHA: TAZAMA UJAUZITO WA ZARI ULIVYOKUA
Siku
zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The
Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa
mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza
‘very pregnant’.

Comments
Post a Comment