Skip to main content
TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMFANYIA YULE DEMU MKENYA ANAYETAKA KUFANYA MAPENZI NA YEYE
Demu
wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake
na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupitia Udaku Special
Blog Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake kusambaa
alitafutwa na Diamond Platnumz na kuanza kuchat nae na kutumiana picha
mbali mbali na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar
wafanye yao pamoja na Collabo ya Mziki ..Lakini mpaka leo Tickets
hazijatumwa....Sasa baada ya tickets kutokutumwa na Diamond kukaa kimya
ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na Mwisho kugundua
anachat na Diamond Fake...anatumia jina la Diamond..kwenye facebook
anajiita : Diamond Wasafi Platnumzz
Hizo Hapo Juu ni Baadhi ya Messeji walizokuwa wanachat kabla ya kugundua sio Diamond wa Ukweli .....TIARA
amesema Bado Hajakata Tamaa na Anasema Diamond Kama Anasoma habari hii
Soon atakuja Tanzania yeye mwenyewe kukutafuta Face to Face mpaka
kieleweke....Katika Hatua nyingine TIARA amesema Mwezi ujao ataachia Single yake mpya itakayoitwa Kuparty......
Comments
Post a Comment