Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 24, 2015

PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALINI YASTUA WENGI, MATIBABU YA KUPATA MTOTO YAMEANZA??!!!!



Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....

Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?
Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages