Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, June 2, 2015

BRUCE JENNER, BABA WA KAMBO WA KIM KARDASHIAN AJITAMBULISHA RASMI KAMA MWANAMKE ANAITWA "CAITLYN JENNER"



Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner amejitambulisha rasmi kama Caitlyn Jenner baada ya kujibadilisha na kuwa mwanamke.
2941CBE200000578-0-image-a-18_1433207746503
Caitlyn ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza mchakato wa kubadilisha jinsia yake kwenye jarida la Vanity Fair. Hata hivyo Jenner bado hajabadilishwa sehemu zake za siri.
Habari hiyo imevuta hisia za watu wengi kwenye mtandao.
Tayari Bruce amefungua akaunti ya Twitter yenye jina lake jipya, Caitlyn Jenner. Ndani ya masaa machache akaunti hiyo imefikisha followers milioni 1.86.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages