Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubisi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.
Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.
1. KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA) - YA MOTO BAND
2.KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU) - JAHAZI MORDEN TAARAB
3.MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI) - JOSE MARA
4.MWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU) - ISHA MASHAUZI
5.WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA) -MWANA(Alikiba)
6.WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI) - WALE WALE(Fm Academia)
7.MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU) -MZEE YUSUPH
8.WIMBO BORA WA RNB -SISIKII(Jux)
9.MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA) -VANESSA MDEE
10. MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA) -ALI KIBA
11.MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE -VANESSA MDEE
12.MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME -ALI KIBA
13. WIMBO BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA(PROF JAY)
14.WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL - LET THEM KNOW(Maua)
15.RAPA BORA WA MWAKA (BENDI) -FEGASON
16.MSANII BORA WA HIP HOP -JOH MAKINI
17.WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI -SURA YAKO (Sauti Sol)
18. MTUNZI BORA WA MWAKA (TAARABU) -MZEE YUSUPH
19.MTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI) -JOSE MARA
20.MTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP) -JOH MAKINI
21.MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA) -NAH REAL
22. MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU) -ENRICO
23. MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI) -AMOROS
24- VIDEO BORA YA MWAKA -MDOGO MDOGO(DIAMOND)
25.WIMBO BORA WA AFRO POP -MWANA(AliKiba)
26.WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA -NTAMPATA WAPI(Diamond)
27.WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA -WAITE(Mrisho Mpoto)
28.MSANII BORA CHIPUKIZI -BARAKA DA PRINCE
29.WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA -KIBOKO YANGU(Mwana FA feat Ali Kiba)
30.BENDI BORA YA MWAKA -FM ACADEMIA
31.MTUNZI BORA WA MWAKA -ALI KIBA
No comments:
Post a Comment