CHAMA Cha
Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais
kupitia chama hicho. Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia
leo mjini Dodoma, Dk. Magufuli amechaguliwa kwa kura 1560 akifuatiwa na
Asha-Rose Migiro aliyepata kura 702 huku Balozi Amina Salum Ali akipata
kura 349.
Kwa
mujibu wa taarifa kutoka ndani ya kikao hicho, Dk. Magufuli amepita kwa
kura hizo kutokana na nguvu yake dhidi ya wagombea wengine.
“Hakukuwa
na namna hapa kwa kuwa, wajumbe wanaamini katika mazingira haya magumu
ya upinzani Dk. Magufuli anaaminika na kukubalika nje kuliko hawa
wengine,” anasema mtoa taarifa na kuongeza;
No comments:
Post a Comment