Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli lilipata Headlines zenye uzito zaidi baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kumtangaza kwamba ndiye Mgombea Urais aliyepitishwa na Chama hicho kwenye Uchaguzi unaofanyika October 2015.
Yeye pamoja na Mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan
tayari wamefika Dar es Salaam na leo July 14 2015 ilikuwa siku rasmi
ambayo ilitangazwa kwa ajili ya kuwatambulisha Wagombea hao.
Watu wa Dar es Salaam wamejitokeza katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala kwa ajili ya kufanya mapokezi hayo.. Pichaz za tukio lote ninazo hapa.
No comments:
Post a Comment