Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, July 27, 2015

TAZAMA PICHA ZA ZARI AKIONESHA UJAUZITO WAKE (BABY BUMP PHOTO SHOOT) KWA MANENO YA MIPASHO.

Zari The Bosslady ameshakuwa mswahili na huenda Taarab ikawa ni muziki anaousikiliza sana kwa sasa. Hiyo imeonekana kwenye picha nne alizopost (moja akiwa na mchumba wake, Diamond Platnumz) kwenye mtandao wa Instagram kuonesha jinsi ujauzito wake ulivyokuwa mkubwa. Tazama picha hizo na kile alichoandika.
11260430_123341838006995_1936020447_n
Alichoandika: Namaumivu yakizidi………. Wishing you all blessed week ahead, Good nyt
11373653_943084819082779_1562587470_n
Alichoandika: They say when you have it, flaunt it. Kwani kuna mtu kaibiwa??? Keeping it sexy and classy. #BabyBumpPhotoShoot
11351999_104770406541206_1765468179_n
Alichoandika: Kwa raha zetu…… vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya Keeping it sexy and classy
11352117_525804417568038_2127135778_n
Alichoandika: Keeping it sexy and classy. #BabyBumpPhotoShoot

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages