Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 10, 2015

URAIS 2015: HAWA NDIO WAGOMBEA WALIOPITISHWA NA KAMATI KUU CCM. WATAZAMA HAPA.

NEWS UPDATES KUTOKA CCM DODOMA USIKU HUU: USIRI WATAWALA TANO BORA YA WAGOMBEA WA CCM



Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages