Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, July 12, 2015

URAIS 2015: HII NDIO TATU (3) BORA YA WAGOMBEA WALIOPITISHWA NA CCM


WATATU CCM
Updates kutoka Dodoma July 11 2015 ziko kila wakati, na zinazonifikia tu  na mimi nazisogeza kwako ili usipitwe, tuliifahamu TOP 5 ya Wagombea Urais wa CCM, tatu bora je?
Mitandaoni hii ina uzito tayari, majina matatu yaliyopitishwa na CCM kwenye wagombea Urais majina ni haya >>> John Pombe Magufuli, Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ali.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages