Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, September 10, 2015

PICHA: HIZI NDIZO SIMU MPYA ZA APPLE ZILIZOZINDULIWA "IPHONE 6S & IPHONE 6S PLUS"

Kampuni ya Apple imeonesha simu zake mpya, iPhone 6s na 6s Plus kwenye tukio lililofanyika jijini San Francisco Jumatano hii.
2C1F096200000578-3228046-image-a-71_1441823675336
Simu hizi pamoja na mambo mengine zina teknolojia iitwayo 3D Touch.
3D touch screen zinamsaidia mtumiaji wa simu kubonyeza screen kwa nguvu kupata menu zaidi ama vitu vya ziada vya picha za selfie.
Simu hiyo pia ina chip inayodaiwa kuwa ya haraka zaidi katika teknolojia ya simu za mkononi. Camera za simu hizo zimeongezewa uwezo zaidi wa megapixel 12 inayotoa picha zenye ubora zaidi na ambayo inaweza kurekodi video zenye ubora wa 4K.
Camera ya mbele ya simu hiyo ina 5mp ili kuboresha ubora wa picha za selfie na ambayo ina flash. Kuna teknolojia mpya ya ‘live photo’ ambayo huchanganya picha na video.
Kwenye tukio hilo pia kampuni hiyo imezindua iPad mpya na kubwa iitwayo iPad Plus.
2C1EC6AA00000578-3228046-image-a-24_1441819683953
CEO wa Apple, Tim Hook akionesha iPad mpya
CEO wa Apple, Tim Cook alionesha pia tablet mpya na Apple TV mpya.

1 comment:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages