BREAKING NEWS: Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli
ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kwa awamu ya tano kwa kupata kura milioni 8,882,935 dhidi
ya mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa aliyepata kura milioni
6,072,848HONGERA SANA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

Comments
Post a Comment