Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, December 8, 2015

HILI NDILO JINA LA MTOTO WA KIUME WA KANYE WEST ALIYEZALIWA HIVI KARIBUNI.

Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.
kanye and kim
Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?
Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili kuashiria kila member wa familia yao na kuandika ‘SAINT WEST’
saint
Mtoto wao wa kwanza wa kike North West ametimiza miaka miwli June 15 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages