Agizo lilitoka kutoka kwa Rais Magufuli,
na kilichokuwa kinasubiriwa ni siku yenyewe kushuhudia utekelezaji
wake… Happy UHURU DAY TANZANIA…. YES, siku imeanza na mzigo wa nguvu
kupiga usafi mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba !!
Rais Magufuli amehusika na yeye mwanzo mwisho kuhakikisha eneo la Feri Dar es Salaam linakuwa safi.
Hapa ni pichaz mwanzo mwisho kazi ya usafi, Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli pembeni wauza samaki na wavuvi wa Feri kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment