Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 15, 2016

TAZAMA MATOKEO YAKO YA KIDATO CHA SITA (6) HAPA. SHULE ZA WAVULANA ZAONGOZA

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka huu wa 2016.
SAM_1365
Katibu Mtendaji wa Necta, Charles Msondena amesema kuwa shule za wavulana ndizo zimeonekana kufanya vizuri kwenye kumi bora.Aidha Msondena ameongeza kuwa ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.
Shule 10 zilizofanya vizuri kwenye matokeo hayo ni pamoja na Kisimiri (Arusha), Feza Boys (Dar es Salaam), Alliance Girls (Mwanza), Feza Girls (Dar es Salaam), Marian Boys (Pwani), Tabora Boys (Tabora), Kibaha (Pwani), Mzumbe (Morogoro), Ilboru (Arusha) na Tandahimba (Mtwara).

Bonyeza hapa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages