Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, October 23, 2016

DIAMOND,ALI KIBA, VANESSA NA NAVY KENZO WAKOSA TUZO MTVMAMA 2016, HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA MTV MAMA 2016

anzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo.
cvz5ptjxgaakzly
Wizkid alikuwa man of the night
Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. Diamond na Alikiba walikuwa miongoni ma wasanii waliotumbuiza.
“Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa,” ameandika Diamond kwenye Instagram.
“Pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika kuchaguliwa… Kuingia tunwengi kwenye MtvAwards ni Ushindi tosha kwa Tanzania…ila wanna congrats my brothers @sautisol for the Best Group award… my hommie @jahprayzah and @wizkidayo ya’ll deserve the Trophies,” ameongeza.
Alikiba amepost picha ya Sauti Sol na kuandika: Congratulations to my brothers @sautisol for The MTV Best Group Winner. You have had a great year and you deserve it.”
Naye Vanessa Mdee amepost picha ya Yemi Alade aliyekuwa akishindana naye kwenye kipengele cha msanii bora wa kike na kuandika: Congratulations to my lady love @yemialade na bado tunaenda #Juu and ALL the winners tonight. Thankyou @mtvbaseafrica for the recognition and your continued efforts to elevate Afrikan Music.Now lets get back to work kids.”
Kwa upande wao, Navy Kenzo wamewapongeza Sauti Sol kwa kuandika: With a Great pleasure we Thank God and all Fans, family, friends and all of our teams,Thank you Everyone for voting and it was a great exposure motivation and challenge towards major Goal…! We also Give thanks to @mtvbaseafrica @mtvbaseafrica For the Nomination and recognition we are very happy with a Great Gratitude. Until next Year. EAST AFRICA #KENYA AND AFRICA AT LARGE LET’S STAND TOGETHER AND SAY CONGRATULATIONS @sautisol @sautisol
@sautisol @sautisol #BESTGROUP #AFRICA.”

Hii ni orodha kamili ya washindi.
cvzwptgwyaaxlqr
1
cvzpyyfwcaavr-1
cvzsgfwwyaa1sdf
cvzbjdswaaanki6
cvzehd_wyaadw5a
cvzfoxdwyaaep98
cvzh0vhxgaaaaft
cvzirevwyaane6y
cvzkawnwgaafbgm
cvzlvjjwgaej5hp
cvzmqxwwgaa8djt
cvzo2txwiaaxiwb
cvzufrawgaabrkh
cvzwwu0wyaaf9c1
cvzxrurxeael16c
cvzyqtmxgaegra9

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages