Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, October 19, 2018

BREAKING NEWS: HATIMAYE MO DEWJI AMEPATIKANA

Image result for mohamedi dewji is back

Kwa mujibu wa Waziri January Makamba, Mfanyabiashara Mohammed Dewji amepatikana, “Nimemuona na kuongea kwa kirefu na Mohammed Dewji, ni mzima wa afya isipokuwa ana alama za kufungwa kamba mikononi na miguuni, mnamo saa nane usiku Watekaji waliamua kumtupa kwenye maeneo ya viwanja vya Gymkana, naamini Polisi watatoa taarifa za ziada kuhusu kilichojiri” - @jmakamba
_


Kampuni yake pia imethibitisha kwa kuandika ““Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji (Saa 9:15 alfajiri, Dar es Salaam)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages