Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 26, 2019

TANZIA: RUGE MUTAHABA AMEFARIKI DUNIA.

 Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa Cl;ouds Media Group Ltd, Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo Februari 26, 2019 nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ruge alikuwa akisumbuliwa na tatizo la Figo na Presha kwa zaidi ya miezi sita.
Kufuatia taarifa hizo, tayari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambi rambi.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages