Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 17, 2019

HAWA NDIO WASANII WA AFRIKA WALIOSHIRIKISHWA KWENYE ALBUM MPYA YA BEYONCE

Beyonce amefichua nyimbo zilizomo kwenye albamu yake mpya itakayoambatana na filamu mpya The Lion King remake na albamu hiyo imejumuisha wasanii nyota na wa juu wa muziki kutoka Afrika. Wasanii wa Nigeria Tiwa Savage na Mr Eazi wanatumbuzia katika wimbo wa ‘Keys to the Kingdom’, wengine Tekno na Yemi Alade katika kibao ‘Don’t Jealous Me’.


The Lion King: The Gift Tracklist:
01 Beyoncé – “Bigger”
02 Beyoncé – “Find Your Way Back (Circle Of Life)”
03 Tekno, Yemi Alade, & Mr. Eazi – “Don’t Jealous Me”
04 Burna Boy – “Ja Ara E”
05 Beyoncé & Kendrick Lamar – “The Nile”
06 Beyoncé, Jay-Z, & Childish Gambino – “Mood 4 Eva”
07 Salatiel, Pharrell, & Beyoncé – “Water”
08 Blue Ivy Carter, St. Jhn, Wizkid, & Beyoncé – “Brown Skin Girl”
09 Tiwa Savage & Mr. Eazi – “Keys To The Kingdom”
10 Beyoncé – “Otherside”
11 Beyoncé & Shatta Wale – “Already”
12 Tierra Whack, Beyoncé, Busiswa, Yemi Alade, & Moonchild Sanelly – “My Power”
13 070 Shake & Jessie Reyez – “Scar”
14 Beyoncé – “Spirit”


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages