Mjomba wa marehemu Mbalamwezi ambaye ni msanii wa The Mafik amedai
taarifa alizoletewa na ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba mwili wa
marehemu uliokotwa mitaa ya Afrikana ukiwa hauna nguo baada ya muimbaji
huyo kutafuta kwa siku moja bila mafanikio yoyote.
Comments
Post a Comment