UBUNGE2020: NDUNGULILE 190, MAKONDA 122...MPOKI APIGWA CHINI


Matokeo ya watia nia jimbo la Kigamboni, Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kushinda kwa kupata kura 190, akifuatiwa na Paul Makonda aliyepata kura 122.


Ushindani ulikuwa mkali kwa Paul Makonda na Faustine Engelbert Ndugulile kila mmoja akiwania nafasi ya kuiwakilisha CCM katika uchaguzi Mkuu ujao katika nafasi ya Ubunge.
Wagombea 78 wapiga kura 399

Comments