Dk. Stephen Ulimboka siku alipowasili nchini akitokea Afrika Kusini kwa matibabu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka leo ameeleza ya moyoni baada ya kutoa taarifa yake kwa vyombo vya habari
kupitia kwa wanasheria wake ambao ni Shayo na Nyaroro Kichere. Taarifa
hiyo imeeleza kuwa aliyekuwa anawasiliana nae kabla ya kutekwa, kupigwa,
kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno na
hatimaye kutupwa katika msitu wa Mabwepande usiku wa Juni 26 mwaka huu
ni Bwana Ramadhani Ighondu ambaye alidaiwa na baadhi ya vyombo vya
habari kuwa ni Ofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Katika taarifa
hiyo Dk. Ulimboka anaeleza kushangazwa na kutokamatwa mtu huyo mpaka
sasa na kudai kuwa yeye yupo tayari kutoa ushirikiano kwa tume huru japo
mpaka sasa haijaundwa.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, October 17, 2012
Home
Unlabelled
DK ULIMBOKA ATOA YA MOYONI; ASEMA ALIYEMPIGIA SIMU NI RAMADHANI IGHONDU(ENDELEA NA STORI KAMILI)
DK ULIMBOKA ATOA YA MOYONI; ASEMA ALIYEMPIGIA SIMU NI RAMADHANI IGHONDU(ENDELEA NA STORI KAMILI)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment