Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 25, 2012

VIONGOZI WA UAMSHO WARUDISHWA TENA RUMANDE


Mawakili wa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Abdallah Juma kushoto na Salim Tawfik wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu nia yao ya kujitoa kwao siku ya leo katika kesi hiyo kutokana na kile walichoita usumbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhangaishwa na kukosa kupelekwa Mahakama ya Kwerekwe kwa muda muafaka
Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed kushoto akiwa na wenzake sita walioletwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga wakiwa hawana ndevu na kufunguliwa mashtaka manne mapya mahakamani hapo yakiwemo kuharibu mali za watu zenye thamani ya Shl.Milioni 50 na kufanya vurugu za makusudi zakuhatarisha amani katika nchi
Baadhi ya Askari wa kutuliza fujo wakiwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga kwa lengo la kulinda usalama na amani Mahakamani hapo
Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wakiwa wanatoka katika Mahakama Kuu ya Zanzibar Vuga baada ya kufunguliwa mashtaka manne mapya..Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar


Na Salma Said

VIONGOZI wanane wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) huku wakiwa wamenyolewa ndevu wameshitakiwa mahakamani kwa madai ya kuhatarisha amani Zanzibar.


Wakitarajiwa kufikishwa mahakamani jana kuendelea na kesi yao ya awali kwenye Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwereke, viongozi hao walipelekwa Mahakama Kuu Vuga mjini hapa na kufunguliwa mashitaka mapya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages