Hao watu inasemekana walikutwa wakifanya mapenzi kwenye nyumba moja ya wageni huko Temeke ambapo pamoja na uongozi wa hospitali kukanusha, inasemekana ukweli umefichwa kwa sababu ni tendo la aibu na waandishi wa habari wameshajaa tayari.
Hii ndio ripoti ya
mwandishi Salehe Masoud wa Clouds tv kuhusu taarifa ya miili ya watu
kung’ang’ania wakiwa gest house baada ya kufumaniwa, yani ni mwanaume
aliekutwa na mke wa mtu ambapo Masoud ambae yuko kwenye hospitali ya
Temeke ambako watu hao wanadaiwa kupelekwa ameripoti kwamba baadhi ya
mashuhuda wanasema watu hao wamefikishwa hospitali wakiwa wamegandana na
waliteremshwa kwenye gari wakiwa hivyohivyo ingawa uongozi wa hospitali
umekanusha na tayari umeshatoa tamko kwa mamia ya watu waliokusanyika
kwamba sio la kweli, hakuna ukweli wa hizo taarifa.
Baada ya watu kuzidi kuwa wengi
na kila mmoja akitaka kuona hao waliogandana, polisi wamelazimika
kutumia mabomu ya machozi kutawanya mamia ya watu waliofika kushuhudia ambapo inasemekana wawili hao wamehifadhiwa nyuma ya Mochwari.
Hao watu inasemekana walikutwa wakifanya mapenzi kwenye nyumba moja ya wageni huko Temeke ambapo pamoja na uongozi wa hospitali kukanusha, inasemekana ukweli umefichwa kwa sababu ni tendo la aibu na waandishi wa habari wameshajaa tayari.
Hao watu inasemekana walikutwa wakifanya mapenzi kwenye nyumba moja ya wageni huko Temeke ambapo pamoja na uongozi wa hospitali kukanusha, inasemekana ukweli umefichwa kwa sababu ni tendo la aibu na waandishi wa habari wameshajaa tayari.
No comments:
Post a Comment