Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 5, 2013

MASHABIKI WAIKATAA VIDEO YA OMMY DIMPOZ- ME AND YOU.


Siku chache baada ya kuachia video yake iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa bongo fleva, matokeo yake yamekuwa sio mazuri kwa Ommy Dimpoz na video ya wimbo wake wa me and you, aliyoshoot na kampuni kutoka Kenya inayoitwa Ogopa, huku akiwa ameishoot katika maeneo ya huko huko kenya.
haya ni baadhi ya maoni juu ya video ya wimbo huo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages