Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 20, 2013

NICK MINAJ AMSUPRISE LIL WAYNE KWA KUMCHEZEA KIMAHABA JUKWAANI KWENYE BILLBOARD MUSIC AWARDS 2013

Nicki Minaj ‘amsurprise’ Lil Wayne kwenye Billboard Music Awards 2013 kwa kumchezea kimahaba jukwaani Onika Tanya Maraj anayefahamika zaidi kama Nicki Minaj ni moja ya wasanii walio perform jana (May 19) kwenye show ya Billboard Music Awards 2013 huko Las Vegas, Marekani. Wakati yuko jukwaani akimalizia kuimba hit song yake ya ‘High School’ aliamua kuongeza manjonjo ambayo watu hawakutegemea.
lil wayne n nicki
Kama zilivyo events nyingi zinazowahusisha wanamuziki maarufu, huwa hapakosi matukio ya tofauti ya kujadiliwa zaidi baada ya show kuisha. Wakati Minaj akimalizia kuperform wimbo wa ‘High School’alimvamia boss wake wa Young Money, Lil Wayne ambaye amemshirikisha katika wimbo huo, na kumfanyia ‘lapdance’ mtindo ambao huwa unatumika na strippers katika strip dance kwa lengo la kuvuta hisia fulani za kimahaba.
Minaj alimfuata Weezy aliyekuwa amekaa kwenye kiti hapo jukwaani na kumkatikia juu yake lakini ile kimahaba zaidi na kumfanya Lil wayne kushika kichwa kuonesha hakutegemea.
Rapper Nicki Minaj mwenye miaka 30 alifanikiwa kuondoka na tuzo 3 hiyo jana ambazo ni Top Streaming Artist, Top Rap Artist and Top Rap Album (“Pink Friday: Roman Reloaded”).

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages