Fresh kutoka kwenye ukurasa rasmi wa Facebook wa wasanii wa Uganda waliotajwa kuwania tuzo za BET 2013, Radio na Weasel ni kuwa watakuwa wawakilishi wa Uganda kwenye shindano la Big Brother Africa 2013.
“We are not AFRICA’S NUMBER SIX, we are not EAST AFRICA’S richest artists, we r not all dos titles people proclaim, okay a few call us AFRICA’S DYNAMIC DUO…we are RADIO AND WEASEL from Uganda and we are here to represent, BIG BROTHER AFRICA 2013 WE LIVE,” wameandika.
Wasanii hao wanaounda kundi la Goodlyfe wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye shindano hilo.
Reality show hiyo kubwa zaidi barani Afrika, Big Brother Africa inakuja na msimu wa nane ikiwa ikijulikana kama The Chase ambapo Jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 watakuwa wakichuana kuwania kitita cha dola 300, 000.
Show hiyo itaanza rasmi Jumapili ya May 26. IK Osakioduwa anarejea tena kuhost ‘The Chase’. Tunasubiri kwa hamu kumjua mwakilishi wa Tanzania.