Kwa mujibu wa Lil Wayne ambaye ametolea ufafanuzi tukio lililozua mjadala miongoni mwa mashabiki wake baada ya kuonekana akiikanyaga bendera ya Marekani, amejitetea kwa kusema hakuikanyaga makusudi ilikua ni ajali sababu hakuiona chini.
Wayne ameongeza kuwa hiyo ilikuwa ni scene katika video ambayo ilitakiwa bendera idondoke nyuma yake huku yeye anaendelea kurap, ila swala la kuikanyaga haikupangwa ilikua bahati mbaya. Really Weezy??
Ametweet:
I didn't step on the flag on purpose! It's a scene in a video where the flag drops behind me and after it drop it's just there as I performKama umeitazama vizuri video hiyo, baada ya bendera kudondoshwa kuna wakati mpaka aligeuka na akawa anatazama chini kwa kuifuata, unahisi anasema ukweli hakuiona?
— Lil Wayne WEEZY F (@LilTunechi) June 18, 2013
Nakupa nafasi ya kuitazama tena video hiyo hapo chini kisha tuambie je unayaamini maneno ya Weezy?