Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 20, 2013

MSIKILIZE SAIDA KAROLI AKIONGEA NA WATANZANIA KWAMBA YUPO HAI

Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli, amezikanusha tetesi zilizoanza kuenea tangu jana kuwa amefariki kwenye ajali ya boti katika ziwa Victoria.
IMG_41701
Akiongea kwa simu asubuhi ya leo, Saida ambaye baada ya kutumbuiza kwenye tuzo za Kili wiki iliyopita alielekea Makongorosi Chunya mkoani Mbeya, amesema yupo hai na ni mzima wa afya.
“Mungu wangu, mimi niko hai, ndugu yangu, naomba uwaeleze watanzania kwamba Saida ni mzima, hakuna chochote kilichotokea hata mimi mwenyewe nimeshangaa yaani watu wanapiga simu, ni suala la msiba lakini si kweli,” amesema Saida.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages