Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, June 14, 2013

MTANDAO MPYA WA KIJAMII ( MAYOCOO) WAZINDULIWA NA MTANZANIA



Mwanafunzi  wa  Chuo  kikuuu cha  Dodoma, ndugu  Justice  Donatus    amefanikiwa kutengeneza  mtandao  wake wa  kijamii  uitwao  MAYOCOO  ambao  utasaidia kuiunganisha  jamii  ya  kitanzania  na  kimataifa..

Akiongea  na  mwandishi  wetu  mjini  Dodoma, Justice  ambaye  ni  mwanafunzi  wa  mwaka  wa  tatu  katika  chuo  hicho  ameeleza  furaha  aliyo  nayo  kwa  kutimiza  ndoto yake  ya   muda  mrefu ya  kuja  na  mtandao  mpya  wa  kizalendo  ambao  utaipiku  mitandao  ya  kigeni  kama  Facebook  na  Twiitter

Mtandao  huo  ulizinduliwa  rasmi   Jumamosi  ya wiki  iliyopita  chuoni  hapo chini  ya  Usimamizi wa  taasisi  ya  kuendeleza  vipaji  kwa  vijana  iitwayo  AISEC na tukio  hilo  lilidhaminiwa  na  makampuni mbalimbali  ikiwemo  bank  ya  CRDB

Jiunge  na  mtandao  huo  hapo  chini  ili  ufaidi  matunda  ya  kitanzania
Juu  na  chini  ni Wadau  wa  Mayocoo  wakiwa  katika  picha  ya  pamoja  baada  ya  uzinduzi  huo

Justice  Donatus  akizindua mtandao  huo
 






Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages