Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, June 16, 2013

PICHA:SHOW NZIMA YA LADY JAY DEE ILIVYOKUWA NYUMBANI LOUNGE

Nguli wa muziki Tanzania, Lady JayDee aka Anaconda, usiku wa kuamkia Leo alipiga show kali na ya kipekee katika kutimiza miaka kumi na tatu katika tasnia ya muziki Tanzania.
Ilikua ni usiku muhimu na uliofana kwa namna yake ambapo, Jide alisindikizwa na wanafamilia, wasanii wenzake pamoja na mafans wa kumwaga.
Cheki picha jinsi tukio lilivyoenda.

DSC_4275
DSC_4277
DSC_4279
DSC_4285
DSC_4288
DSC_4291
DSC_4293
DSC_4295
DSC_4297
DSC_4298
DSC_4299
DSC_4300
DSC_4298
DSC_4301
Wadau wa muziki wakiwa ndani ya Nyumbani Lounge
DSC_4307
Sinta akiwa na rafiki yake
DSC_4310
Kutoka kushoto K.R,Sugu,Juma Nature na madau wa muziki
DSC_4314
Kutoka kulia Proffesor Jay,K.R,Sugu na Juma Nature
DSC_4316
DSC_4317
DSC_4318

DSC_4324
Wasanii wa tasinia ya filamu Tanzania kutoka kulia J.B,Rich na Ray
DSC_4326
DSC_4327

DSC_4328
Wadau wa muziki wakimshangilia Lady Jay Dee
DSC_4332
DSC_4338
Jay dee akiwa amemkumbatia kaka yake
DSC_4340
DSC_4346
Watatu kutoka kushoto ni mama wa Jay Dee na kulia ni mama yake mdogo
DSC_4353
DSC_4356

DSC_4357
Mwigizaji wa filamu Tanzania Sandra

DSC_4360
Sugu akifanya mambo kwenye steji
DSC_4369
Sugu na Jay Dee wakiwa pamoja stejini
DSC_4371
DSC_4373
DSC_4379
Juma Nature akifanya mambo kwenye steji
DSC_4383
Kutoka kushoto Juma Nature,M2 the P na Mkoloni
DSC_4387
T.m.k wanaume akifanya makamuzi
DSC_4391
DSC_4405
Show ya kucheza na nyoka
DSC_4415
Dullah
DSC_4418
Mzee kalala akiwa na mke wake
DSC_4420
DSC_4422
Watu wakicheza muziki
DSC_4430
Mambo yameiva, ni muziki kwenda mbele tu
DSC_4432
DSC_4442
DSC_4445
DSC_4447
DSC_4449
DSC_4452
Jay Dee akizawadiwa pesa
DSC_4453
DSC_4460
Watu walioudhiria katika show ya kutimiza miaka 13 ya Lady Jay Dee
DSC_4461
Proffesor Jay akiimba na mashabiki
DSC_4466
DSC_4233
DSC_4238
DSC_4241
DSC_4252
Wakazi akiwa stejini na Mwinyi wa Machozi Band
DSC_4261
DSC_4263
DSC_4267
DSC_4268
Sugu akiwa na mama watoto wake,Faidha
DSC_4269
DSC_4272
Mwinyi wa machozi band akiwa na rafiki yake wa karibu
DSC_4273
DSC_4274
DSC_4264
Jay Dee katika pozi kabla ajaingia stejini

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages