Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, June 16, 2013

PICHA:TANZANIA YAPOKEA KICHAPO CHA MAGOLI 4 KWA 2 DHIDI YA IVORY COAST

 Kiungo machachari wa Taifa Stars,Mwinyi Kazimoto akiwachachafya mabewa Timu ya Taifa ya Ivory Cost,wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stats imefunga bao 4-2.
 Amri Kiemba wa Taifa Stars kiondoka na mpira.
 Golikipa wa Timu ya Ivory Cost,Barry Boubacar akidaka mpira ukiokuwa umepigwa na Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu.
 Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akiondoka na mpya huku mabeki wa timu ya Ivory Cost wakimfuata kwa kasi ya ajabu bila ya mafanikio.Mpira umekwisha muda mfupi uliopita na na Matokeo ni Taifa Stars 2-4 Ivory Cost.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages